The Name “Daraja la Mungu”
is a Swahili word carrying the meaning “God’s Bridge”. This came from the fact that this bridge was naturally formed without any human engineering and yet remained ironic stronger till today. Scientific research believes that, the bridge’s formation is a product of powers of a fast flowing river down along the rocky valley, creating a hole through a hard surface hence leaving behind a rocky span that cuts across two sides of the river in the shape that looks exactly like a single lane bridge, big and strong enough to allow more than hundreds tons load across. Local people call this miracle 'Daraja la Mungu' for its providential existence and for the traditional beliefs attached it.The bridge spans a small waterfall at a distance not more than ten meters down the river and further south along the Kiriwa River are the pretty Kaporogwe Falls. Also nearby is Kijungu (Cooking Pot), where the river tumbles through a small rocky gorge creating heavy drop sounds of water several meters down. Residents call this pot-hole like feature “Kijungu” reflecting a Swahili word “chungu” which means a pot. Just before “Daraja-La-Mungu”,
SWAHILI VERSION
Daraja la Mungu
Hili ni Daraja lililopo mkoani Mbeya na limeitwa hivi kwa maajabu yake kutokana na kutojengwa na wanaadamu na lipo mpaka leo . kwa Mujibu wa utafiti wa wanasayansi wanaaamini kuwa Daraja hili lilitengenezwa kwa maji yaliyokuwa yakitiririka kwa kasi zaidi kutoka upande mmoja hadi mwingine na kutengeneza upenyo ambao ulikuwa ukiliwa na maji na kutengeneza upenyo ambao umekuwa mkubwa kiasi cha kufanya Daraja . Mwamba wa juu wa Daraja hilo unaweza kupitisha mamia ya watu, wemyeji wa mkoa Huuu wanaamini kuwa Daraja Hili limetengenezwa na Mungu Mwenyewe, Na lipo umbali wa Mita Kumi kutoka chini na kutoka kusini mwa Mto Kiriwa ni kiasi cha mita kumi pia kutoka maporomoko ya Kaporogwe. Hali kadhalika na Kijungu ambapo maji utiririka kwa kasi na kutengeneza sauti kubwa ya kelele za maji .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni