MUZIKI WA MALIMBA

MUZIKI WETU

HABARI? MPENZI MSOMAJI KARIBU KATIKA KURASA HII MAALUM KWA AJIRI YA HABARI ZIHUSUZO UTALII NA UTAMADUNI KUTOKA KATIKA VISIWA VYA MARASHI YA KARAFU ZANZIBAR ,NA MAENEO JIRANI YANAYOFANANA TABIA NA VISIWA HIVI +255 713 15 33 48

Jumatatu, 29 Juni 2015

KICHWELE STREET (MTAA WA UHURU KARIAKOO )1940 -1955


SWAHILI VERSION
Huu ni mtaa wa uhuru taswira hii ni ya mwaka 1940 hadi 1961 leo hiii ukipita sio minazi tena wala nyumba  zenye nyasi tena hizi ni moja kati ya historia za miaka ya nyuma ambapo karibu ya asilimia kubwa ya watanzania wengi walikuwa hawajazaliwa .
ENGLISH VERSION 
On the picture it is Kichwele street by that time you could have of observe those house which has roof glass, today its Known as Uhuru street (Mtaa wa Uhuru ) This is one of the historical Images which taken During 1940 to 1961 many of Tanzania Citizen were not born that time .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni