Kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar (ADZ) inaendelea
kufanya ukarabati wa kanisa la kristo Zanzibar kwa kutengeneza na kuelimisha na kuongoza
uelewa wa historia ya Biashara ya utumwa Zanzibar na biashara ya haramu ya
usafirishaji watu afrika mashariki na Dunia kwa ujumla .
ADZ ambayo inamilikiwa na kanisa la Anglikana Tanzania kwa
kushirikiana na kampuni ya uwezeshaji inayohusika na kutengeneza minara ya ukumbusho ya Uingereza walitangaza siku ya tarehe mosi
Mwezi October mwaka 2013 kuwa July 2015 mpango wa kuboresha Eneo hilo umefanikiwa kwa
kiasi kikubwa
Kazi kubwa imekwisha kamilika na baadhi ya vitu vimesha rejeshwa
katika hari ya mwanzo na sasa kuna vitu
vidogo vidogo ndani ya kanisa vinapangwa ili kutengeneza sehemu mbali mbali za
kihistoria .
Sehemu hiyo itakuwa ikizungumzia taarifa za soko la utumwa
kwa watoto wadogo kwa kutumia lugha zote mbili Kiswahili na kiingereza
Katika dhana ya kufanya biashara ya watu mradi huo utalenga
zaidi kuwafundisha watu juu ya kuwaelimisha watu na kuwapa elimu ya kutosha
kuhusu biashara ya watu inayofanywa na ambavyo imeenea Huku Zanzibar ikiwa ni moja kati
ya sehemu ilioathirika Zaidi na inasemekana kuwa sasa hivi biashara hiyo
imeshamiri kuliko hata Biashara ya Utumwa
hasa kwa watoto wadogo
ADZ inatumai kuwa itaongeza
uelewa kwa jamii juu ya biashara mbaya ya kuuuza watu pasi na ridhaa yao au
hata wakiwa wameridhia katika ukanda wa afrika mashariki na ulimwenguni ili kuwafanya wageni wapate uelewa na kwenda kuwafundisha watu wengine . na
uwasilishwaji wa elimu hizo utakuwa kwa lugha zote mbili na kwa lugha za alama.
ENGLISH VERSION
The Anglican Diocese of Zanzibar (ADZ) is moving forward
with renovations of Christ Church Cathedral to create a centre to raise
awareness about the history of slavery in Zanzibar and current human
trafficking realities in East Africa and worldwide.
The ADZ, which belongs to the Anglican Church of Tanzania,
embarked on the project on 1 October 2013 in partnership with World Monuments
Fund Britain and announced in its July 2015 newsletter that efforts to raise
its portion of grant funding had been successful.
Work on the exterior has been completed and restoration now
is in progress of the cathedral’s interior, in particular on the creation of a
planned Heritage and Education Centre.
The heritage centre will retell the story of the East
African slave trade in a form accessible to school children, in both English
and Kiswahili.
An anti-human trafficking focus will feature centrally in
the project. The centre intends to educate about modern-day realities,
including the fact that there are now more slaves on the planet than at any
previous time in history, with trafficking of women figuring as the world’s
second largest industry, and that Zanzibar once again is serving as a
trafficking point, especially of children.
The ADZ hopes to raise public awareness of human trafficking
today both in East Africa and across the globe, and suggest concrete action
that visitors can take to join in combating the crisis.The centre also aims to
promote interfaith and inter-communal dialogue and understanding.The centre and
its exhibits will be accessible for people living with disabilities, including
tours in Sign Language.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni