MUZIKI WA MALIMBA
MUZIKI WETU
Jumatano, 9 Septemba 2015
JE WAIJUA PAUNI YA TABORA ?
Kibiashara ilianzishwa na Utawala wa Wajerumani Afrika ya Mashariki mwaka 1905 wakati Benki ya Deutsch-Ostafrikanische ilipofungua ofisi yake Jijini Dar es Salaam.
Benki hii ilikuwa na idhini kutoka Serikali ya Ujerumani ya kutoa sarafu na noti zake ili kuiwezesha kutimiza mahitaji ya ubadilishaji wa Fedha wa sarafu kwa noti, Ilipofika mwaka 1911 Benki nyingine ya Kijerumani iitwayo Handelsbank fuer Ostafrika ilifungua tawi lake Tanga, baada ya hapo vita vikuu vya kwanza ya Dunia ilianza . Pauni ya Tabora, ya dhahabu yenye thamani sawa na rupia 15 ilibuniwa na mtaalamu wa Sekta ya madini Friedrich Schumacher hapo Tabora na ilikuwa na uzito wa gramu 6.8 (ikiwa ni dhahabu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni