Mangapwani (Maana yake ni Ufukwe wa kiarabu ') Ni pango la kuhifadhia watumwa lipo kilometa 20km kaskazini mwa Mji wa Zanzibar. Eneo hilo la kufahidhia Watumwa ambalo limejengwa kwa kutumia mawe yaliyo katwa katika mwamba huku likiwa na mlango mdogo sana wa kuingilia ambamo ndani kuna maji safi lipo huko kisiwani Zanzibar . kutokana na uoto wa asili ambao umesababishwa na Unyevu Unyevu kulisababisha kuota kwa nyasi kiasi ambacho kilisababisha Pango hilo kusahaulika .
Baadae Pango hili lilimilikiwa na Mwaarabu aliyejuilikana kwa jina la Hamed Salim el Hathy ambae alimiliki watumwa wengi zaidi katika Pango hilo . Katika zama hizi ,Pango Hili liligunduliwa na kijana mdogo aliyekuwa akitafuta mbuzi wake baada ya kupotea Na hapo ndipo watu wa Eneo hilo wakaanza kutumia tena maji ya Eneo hilo, na Bwa Hamed Salim alikuwa akitumia maji hayo kwa matumizi binasfi .

Imewakadiliwa kuwa Eneo hilo lilikuwa likihifadhia watumwa tangu Biashara hiyo ilipopigwa marufuku mwaka 1873.
Watu wengi huenda kutembelea Eneo hilo visiwani Zanbzibar , Kwa kutumia Usafiri Binafsi eidha kwa baskeli au gari na pikipiki pia. Aidha yapo magari ambayo hufanya safari kutoka Zanzibar Mjini Hadi Mangapwani , japokuwa huduma hizo sio za mara kwa mara . na ili kufika huko magari mengi hupitia njia Bububu hadi Chuini, na baadae kufuata uelekeo wa Bumbwini. ni kilometa sita 6km, kutumia njia hiyo kufika Kijiji cha Mangapwani ,

Sehemu ya ndani ya Kuhifadhia watumwa ya Mangapwani ipo kilometa Kadhaa kutoka kwenye Mwamba wa Bahari ya Hindi Japokuwa wakati mwingine panaitwa (Pango la watumwa),Ni Eneo lilojengwa juu ya mwamba huku likiwa na paa kwa juu .
Lilijengwa maarumu kwa kuhifadhia watumwa na Ujenzi wa Eneo hilo ulibuniwa na Mohammed bin Nassor Al-Alwi, moja katika ya wafanya biashara Muhimu wa watumwa . Boti kutoka Tanganyika ambalo lilikuwa Koroni la Kijerumani zilikuwa zikibeba watumwa na kuwapeleka katika Mashua ambazo ziliwasafirisha hadi
hadi kwenye cha maji mengi na Kwenda Zanzibar ili kwenda kuuzwa na kufanya shughuri mbalimbali za kilimo .
Pango hilo linafikiliwa ya kwamba baada ya mwaka 1873, wakati Sultan Barghash
alipotia saini usitishwaji wa Biashara ya watumwa Anglo–Zanzibari Treaty Eneo hili bado lilitumika kuhifadhia watumwa kinyemela na kwa miaka mingi .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni