Hii ni moja kati ya maeneo ya Zamani ya Mji wa Zanzibar katika kisiwa cha unguja ndani ya Mji mkongwe (Stone town) sehemu iliyopo ndani kidogo ya Bahari ya Hindi na Ni rahisi sana ukiwa katika Eneo hilo kujionea Mandhari nzuri ya Mji mkongwe
.
Na ni eneo zuri zaidi kwa wafanya Biashara kufanya biashara zao katika eneo hilo kwani watalii wengi hujivinjari sehemu hiyo na ukiwa unatembea ni vigumu kupotea katika eneo kwani limekaa katika mpangilio unaostahili .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni