MUZIKI WA MALIMBA

MUZIKI WETU

HABARI? MPENZI MSOMAJI KARIBU KATIKA KURASA HII MAALUM KWA AJIRI YA HABARI ZIHUSUZO UTALII NA UTAMADUNI KUTOKA KATIKA VISIWA VYA MARASHI YA KARAFU ZANZIBAR ,NA MAENEO JIRANI YANAYOFANANA TABIA NA VISIWA HIVI +255 713 15 33 48

Alhamisi, 19 Desemba 2013

JIONEE CHUMBA KILICHOPO CHINI YA BAHARI PEMBA ZANZIBAR

 
Moja kati ya Mambo ambayo huwezi kudhania yanaweza kuwepo afrika Tena Tanzania katika kisiwa cha Zanzibar unaweza kujikuta katika mshangao mkubwa na kusema jambo halipo afrika lakini nakueleza kweli Kitu hiki kipo katika kisiwa kidogo cha pemba kilichopo ndani ya Zanzibar .

Kuna Jambo Kuu ambalo sasa linaitambulisha kisiwa cha Pemba hasa katika Eneo la utalii Ni chumba kilichopo ndani ya Bahari ya Hindi .


Katika Mjumuisho wake ,Na sehemu  ambapo kuna mchanga mweupe uliopo Pembezoni mwa bahari ya Hindi unaweza kusema huu ni uongo na haiwezekani kikapatika hapa .
Kisiwa cha Pemba kinaonekana kama kimetengwa hivi  Kutoka Ardhi kuu ya Tanzania na Zanzibar kwa miongo mingi , Kuishi katika sehemu ambayo kwa lugha nyingine tunaweza kusema haijaguswa kabisa ,Ardhi ya kila aina ya baraka kuanzia Bahari ,Miti,misitu ,na Ufukwe mwanana , kimejengwa kihistoaria misikiti na Makaburi ya kihistoria  –Sehemu ambayo kihistoria ilitawaliwa na Jamii ya kiarabu ikiongozwa na   Sultan of Muscat (Oman) katika Karne   17th.



 Lakini  kama angekuwepo mpaka leo basi angefanya Starehe ya kufuru katika Chumba hiki kipya kilichopo chini ya Bahari ambacho kimepewa jina la Manta Resort kwani alikipenda na aliweza kuweka tawala na kwa matusi ya Hari ya juu alikuwa akitawala tokea  Muscat.
Pemba Bado ni kisiwa ambacho kinafahamika duniani kwa Kilimo cha Karafuu kwa asilimia  70%, Lakini sasa hivi kinalinda zaidi utamaduni wake  .Japokuwa wengi wetu tunaweza kukifahamu kwa sifa ambayo siyo nzuri ya Uchawi  maarufu kama  ju-ju.

Sleeping with the fish
 The Manta Resort Ni chumba kilipo kaskazini mwa kisiwa cha Pemba . Magharibi mwa kisiwa hicho ndipo jua linapozama na mashariki mwa kisiwa hicho ndio sehemu ambayo zinafanyika raha za Dunia kwa ustaarabu wa hari ya juu kwa kutazama vile mwenyezi mungu alivyokitunuku kisiwa hicho .


Je yawezekana Vipi kwa kisiwa kama hiki kuweza kuepukika kutoharibika kwa utamaduni kwa wageni waingiao Kisiwa hicho ? Katika kisiwa hiki kuna watu wasiopungua watu Laki tatu300,000 
Na kuna zaidi ya wanandoa wa kigeni wanaoingia Pemba . na inaonekana wazi kuwa kuna jambo la siri ambalo watu wa pemba wanalo lakini hawataki kulitoa hadharani ili kila mtu ashiriki katika jambo hilo . Ukiwa unafanya ziara yako pemba utagundua kuna ardhi ambayo haijaguswa kabisa . Wana kijiji sio karimu kiasi cha kuongea na watu na watoto wadogo watakupa tabasamu na huku wakionyesha ishara ya kukuaga  yaani  “bye-bye!” pale unapopita kati yao .na unaweza kuitwa katika masoko ya na kupewa matunda uonje na wakisubiri waone utatoa tathimini gani kuhusu kuhusu matunda yao  .

Wakati tawala za  kikoloni zinaingia kutoka magharibi kuingia afrika mashariki  Waingereza walimlazimisha  Sultanates wa Muscat na  Zanzibar kukigawa kiutawala na kwa jina la Sultan.

Kihistoria usafiri mkuu wa kisiwani  humo ni kutumia jahazi  ambapo waarabu walikuwa wakitumia sana kuja afrika mashariki .
huku nyenzo kuu ya usafiri huo ukiwa ni upepo wakisafirisha karafuu kupeleka  India, sio karafuu ,Mbao madini ya fedha katika visiwa vya Unguja na  Pemba.

Jahazi limebakiwa kuwa usafiri wa kihistoria katika kisiwa cha  Pemba.  Jahazi hutumika kusafiri kutoka  Wete hadi  Shimoni huko kenya na kama mawimbi yakituria linafika hadi Msumbiji  .




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni