Kisiwa cha
Mbudya kipo Mashariki katika ufukwe wa
Tanzania ni takriban Mwendo wa Dakika kumi hadi kumi na tano kutokana
hari ya hewa ya siku husika kipo karibu na maeneo ya fukwe za Kunduchi Beach
Hotel,White sand Hotel na Escape .
Moja kati ya
vitu ambavyo unaweza kuvipata katika kisiwa hicho ni aina mbali mbali ya Samaki
kama , Kama kamba kochi,(Lobster) Ngisi na pweza, na aina Nyingi za samaki .
Lakini hapa nakuletea aina ya samaki anayefahamika kwa jina la Kamba Kochi samaki huyu ana faida nyingi katika mwili wa
mwanadamu na sababu kuu ikiwa nyama yake haina hata Chembe ya mfupa ana nyama
laini sana na vitamin ya kutosha samaki huyu hufaa kwa supu wakati wa Asubuhi
au unaweza lia Ugali au wali wakati wa Mchana .

Kwa wale
ambao hawajawahi kumuona kimaumbile unaweza usile lakini ni mtamu hakuna mfano.Unapokuwa
katika kisiwa cha mbudya utakutana na Raia wengi wa kigeni ,kutoka
marekani,uingereza,ufaransa na nchi kadhaa na wakati mwingine unaweza hisi
kuwa hauko Tanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni