Hiki ni kikosi cha Timu ya soka ya Pan Afrika kikosi kilichokwenda katika sherehe za Uhuru wa malawi mwaka 1976 .
Waliosimama ni Athuman Kilambo ,Juma matokeo, Adofl mohamed Rishard ,Kasim Manara ,Mkweche,Iddy mskaa, Mikidadi Nondo , Juma Pondamali Mensah, Tamim Daktari wa Timu ,Roboz Kaa,Abdul Mteketa, Muhaji Muki,Kapera,Juma Shaban,Mapango,Tostao,Kitwana Manara .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni