Hili ni jengo lenye historia kubwa sana
katika visiwa vya Unguja lakini ni wazi linakosa mwangalizi wa uhakika
licha ya kuingizia kisiwa cha unguja fedha nyingi sana katika nyanja ya
utalii lakini bado kimekosa uangalizi unaostahili na linazidi kuharibika kila uchao .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni